WELCOME AT UNIVERSITY NURSING STUDENT'S ASSOCIATION OF TANZANIA

Friday, August 25, 2017

Picha sita za matukio ya ligi ya UNSATA UDOM 2017

Bscn two team 2016/2017

kreti tatu za soda kwa ajili ya zawadi kwa nafasi ya pili na tatu (18/08/2017)
                                                        
M/kiti wa sports and affair kulia (Mohamed Bakari) wakati akifungua ligi  unsata(07/08/2017)  

TIMU YA MWAKA WA NNE BSCN WAKIJIANDAA KUPAMBANA KWENYE FAINALI NA DIPLOMA MWK 2

Mwaka wa nne BSCN baada ya kuwa mabingwa wa ligi ya UNSATA 2017 na kupewa zawadi ya mbuzi                                 ( mshindi wa kwanza)

pichani GODLOVE ALOYCE akiwa amembeba mbuzi kwa ajili ya kitoweo baada ya kukabidhiwa na Uongozi UNSATA (2017)