WELCOME AT UNIVERSITY NURSING STUDENT'S ASSOCIATION OF TANZANIA

Monday, December 4, 2017

UNSATA WELCOME FIRST YEAR 2017/2018 LOADING 16 DECEMBER

Uongozi wa UNSATA UDOM unapenda kuwataarifu na kuwaomba wanachama wake kuendelea kutoa michango kwa ajili ya hafla ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza bsc nursing na dplm nursing. mchango huo ni shiling 5000/= ili kufanikisha sherehe hiyo.
TOA MCHANGO KWA VIONGOZI WAFUATAO
1. KATIBU UNSATA UDOM MLIGO STEWARD
2. KATIBU KAMATI YA MICHEZO NA MAMBO YA JAMII SALIM ANYINGISYE
3. CRS WA KILA DARASA
4.RICHARD OPTATUS

No comments:

Post a Comment