WELCOME AT UNIVERSITY NURSING STUDENT'S ASSOCIATION OF TANZANIA

Monday, August 13, 2018

SLAMU KUTOKA UONGOZI WA UNSATA-UDOM CHAPTER

Uongozi wa UNSATA UDOM unapemda kuwatakia wanfunzi wote wa uuguzi na ukunga UDOM CHAS mtihani mwema wa kuumaliza mwaka wa masomo 2017/2018.Pia kwa nafasi ya pekee uongozi unawatakia kila aina ya mafanikio wale wanaohitimu mwaka huu wakapate kuiwakilisha UDOM CHAS vema
 
IMETOLEWA NA
MSAFIRI, NDIMILA 
KATIBU MKUU UNSATA -UDOM

No comments:

Post a Comment